Powered by Blogger.

Friday, April 27, 2012

Toyota Mark II (for exchange)




Habari   pole na kazi , naomba unisaidie kunitangazia gari langu hilo nahitaji kubadilishana na mwenye gari aina ya toyota yoyote ile iwe GAIA AU NOAH kwa sababu gari yangu hii haina tatizo lolote isipokuwa kwangu imekuwa hainitoshi mimi na FAMILIA yangu , nahitaji gari kubwa kidogo, nitashukuru sana kama utanisaidia , natanguliza shukurani zangu za dhati ,AHSANTE

kwa anayetaka kuiona gari ipo dsm kariakoo ,Gerezani
na kwa mwenye gari ambayo anaona itanifaa naomba anitumie picha kwenye email nayoweka chini hapa asanteni


0786443322
0715331233

0 comments:

Post a Comment

UZA GARI LAKO SASA

Kwa yeyote anayetaka kuuza gari kupitia mtandao huu, tuma picha na maelezo ya gari lako ukiambatanisha na contact zako kupitia email hii; easymotorztz@gmail.com



Design by araba-cı | MoneyGenerator Blogger Template by GosuBlogger